Mojim 歌詞
Mojim 歌詞 > 欧州米国の歌手 > Eunice Njeri > その他 > Wanishangaza

Eunice Njeri



歌詞
アルバムリスト

Eunice Njeri

Wanishangaza

Every time i take a breath or see sunshine
streams flowing from up on the high mountain
far to the far sky i know you are the only one and fore God
i think of the many many times have seen your powerful ways
the miracles in my life how could i live without you

wanishangaza, wanishangaza 2
matendo yako makuu (wanishangaza)
miujiza yako yesu (wanishangaza)

I take my heart, my faith, my trust
nakupa moyo wangu na imani nakuamini
Baba nitaomba nitaimba nitakusifu
milele nitaomba nitaimba nitakusifu
mungu wa mapendo mwenye utukufu wote

wanishangaza, wanishangaza 2
もっと沢山の歌詞は ※ Mojim.com
yesu wanishangaza, wanishangaza
wanishangaza wanishangaza

uuuuuuu eeeeee
uuuuuuu eeeeee
huuuuu eeeeeee yesu eee

wanishangaza wanishangaza
yesu wanishangaza Wanishangaza
how you love me (wanishangaza)
God you're mightful on me Lord (wanishangaza)
mimi mwanadamu tuu(wanishangaza)
jinsi waniwazia mema (wanishangaza)
naukuu wako yesu eeee(wanishangaza)
Bwana unavyotawala (wanishangaza)